Monday, January 05, 2015

MATUKIO YA PICHA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KITUO CHA POLISI MBWENI ZANZIBAR

unnamed1aNaibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Haji Mwadini Makame akifungua kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.unnamed2a-Vijana wadogo kutoka katika kituo cha Nyerere Shaolin Group wakionyesha umahiri wa kuweza kupambana na uhalifu katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.unnamed3aKamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar akitoa maelezo kuhusiana na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.unnamed4a-Katibu Mkuu Wizara ya mambo yandani Mbaraka Abdullwakili akitoa hotuba na kumkaribisha mgeni rasmi katika Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.unnamed5a-Naibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Haji Mwadini Makame akitoa hotuba katika Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kushoto yake ni Katibu Mkuu Wizara ya mambo yandani Mbaraka Abdullwakili na kulia ni Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar.unnamed6aNaibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Haji Mwadini Makame katikati akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Jeshi la Polisi katika Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR. 

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...