Sunday, June 28, 2009

Mbilia Bell akifanya mambozz Dom

Mwanamuziki toka Jamhuri ya KIdemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akitumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. Picha na Jube Tranquilino.


Mwanamuziki toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akicheza muziki na Sapika wa Bunge Samwel Sitta wakati alipotumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. Picha na Jube Tranquilino.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...