Kaimu Meneja Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Sophia Mwema akifafanua jambo kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba. Mkutano huo umefanyika leo New Africa Hotel. (Picha kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa)
Maafisa Mawasiliano na wateja wa mabenki tofauti waliofika kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba, wakifuatilia jambo.Watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa wakifuatilia mkutano huo maalumu ulioandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba. Kutoka kulia ni Salvatory Hinju, Clara Lumbanga, Salim Salum na Faida Napacho.
Maafisa Mawasiliano na wateja wa mabenki tofauti waliofika kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba, wakifuatilia jambo.
Maafisa Mawasiliano na wateja wa mabenki wakiwasili kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba, wakifuatilia jambo.
Maafisa Mawasiliano na wateja wa mabenki tofauti waliofika kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba, wakifuatilia jambo.
Kaimu Meneja Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Sophia Mwema akifafanua jambo kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba.
Timu ya maofisa mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa kutoka kulia ni Narindwa Norbert, Olivia,, Bhoke Wambura na Salma Mwinyi, wakijadili jambo kabla ya mkutano huo kuanza.
Maafisa Mawasiliano na wateja wa mabenki tofauti waliofika kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba, wakifuatilia jambo.
No comments:
Post a Comment