Friday, October 03, 2014

BENKI YA EXIM KATIKA KIKAO CHA UBORESHAJI UTENDAJI KILICHOFANYIKA KATIKA HOTELI YA HYATT JIJINI DAR ES SALAAM

Exim Pix 1Afisa Mkuu Mtendaji wa Benki ya Exim Tanzania Bw. Dinesh Arora (kulia) akizungumza na uongozi wa benki hiyo (haupo pichani) wakati wa kikao cha kimkakati cha ndani kilichofanyika katika Hoteli ya Hyatt hivi karibuni jijini Dar es Salaam.Exim Pix 3Afisa Mkuu Mtendaji wa Benki ya Exim Tanzania Bw. Dinesh Arora (kulia) akizungumza machache na mmoja wa wafanyakazi wa benki hiyo wakati wa kikao cha kimkakati cha ndani kilichofanyika katika Hoteli ya Hyatt hivi karibuni jijini Dar es Salaam.Exim Pix 4Afisa Mkuu Mtendaji wa Benki ya Exim Tanzania Bw. Dinesh Arora (kushoto) akizungumza machache na Mkuu wa Hazina wa benki hiyo Bw. George Shumbusho (kulia) wakati wa kikao cha kimkakati cha ndani kilichofanyika katika Hoteli ya Hyatt hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Matawi Bi. Agness Kaganda.Exim Pix 5Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya Exim Tanzania Bw. Frederick Kanga (kushoto) akizungumza na uongozi wa juu wa benki hiyo wakati wa kikao cha kimkakati cha ndani kilichofanyika katika Hoteli ya Hyatt hivi karibuni jijini Dar es Salaam.Exim Pix 2Afisa Mkuu Mtendaji wa Benki ya Exim Tanzania Bw. Dinesh Arora (katikati) akizungumza na uongozi wa benki hiyo (haupo pichani) wakati wa kikao cha kimkakati cha ndani kilichofanyika katika Hoteli ya Hyatt hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha Bw. Issa Hamis na Mkuu wa Matawi Bi. Agness Kaganda (kulia).

No comments:

TUME YA MADINI YAAINISHA MIPANGO YA KUWAWEZESHA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI

Uanzishwaji wa masoko ya madini wapunguza utoroshwaji wa madini Elimu yatolewa kwa wachimbaji wadogo wa madini CHUNYA Ikiwa ni mkakati wa  k...