Wednesday, March 19, 2014

UFUNGUZI WA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA YA POLISI WAFUNGULIWA

1 (13)Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na Mwenyekiti wa Tughe  Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro alipokua akiwasili  kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya  Jeshi la Polisi. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
2 (9)Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akiwasili na Mwenyekiti wa Tughe  Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro kwenye ufunguzi  wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
4 (7)Maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi wakiimba wimbo wa “Solidarity Forever” jana mjini  Morogoro wakatiwa ufunguzi wa mkutano wa baraza la wafanyakazi idara  ya Polisi. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
5 (3)Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (katikati), Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini  IGP Ernest Mangu (kulia) na Mwenyekiti wa Tughe Makao Makuu ya Jeshi la Polisi , Alcado Nchinga (kushoto) wakiimba wimbo wa “Solidarity Forever” kwenye ufunguzi  wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...