Friday, March 21, 2014

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete Aendeleana Kampeni Ya Nguvu Kijiji Kwa Kijiji

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akibadilishana mawazo na Mzee Ally Mohamed Meta mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Kampeni kwenye Kijiji cha Misakazi,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze jana Machi 20, 2014
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani,Mwishehe Shaban Mlawa akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika kwenye kijiji cha Misakazi,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze jana Machi 20, 2014.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...