Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akizungumza wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda, akizungumza wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano ambao pia ni waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano uliondaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
Meneja wa Huduma kwa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Godfrey Mollel akisisitiza jambo wakati akitoa mada kwenye mkutano ulioandaliwa na PPF kwa waandishi na wadau wa habari katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar Es Salaam leo.
Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Janeth Ezekiel (katikati) akifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa na Meneja Wa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF , Ndg Godfrey Mollel (hayupo pichani) Ndg Godfrey Mollel wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
Dokta Isaac Maro Wa AfyaCheck akizungumza wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
Mzee Timoth Kahoho (wa kwanza kushoto) akifurahia jambo pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ndg William Erio wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ndg William Erio akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Kituo Cha Runinga cha ITV, Bi Fatma Almas Nyangasa wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
Mzee Timoth Kahoho (katikati) akifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa na Meneja Huduma kwa Wateja wa Mfuko Wa Pensheni wa PPF, Ndg Godfrey Mollel wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
Washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa waandishi na wadau wa Habari uliondaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF pamoja na timu yake nzima kutoka Ofisi ya PPF Makao Makuu.
No comments:
Post a Comment