Chipukizi wa Mkoa wa Tanga wakimkaribisha kwa maua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika tarafa ya Mkata, wilayani Handeni mkoa wa Tanga, Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi.
Rais Jakaya Kikwete, akifurahia burudani ya ngoma sa asili.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa Bwawa la Maji la Mkata wilayani Handeni jana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Bwawa la maji la Mkata muda mfupi baada ya kulizinduahuko Mkata wilayni Handeni Mkoa wa Tanga Jana asubuhi. Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi kuagua na kuzindua miradi ya maendeleo. Picha na Fredy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment