Thursday, March 20, 2014

Matukio Mbalimbali Kutoka Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma

 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale- Mwiru (kulia) na Augustine  Lyatonga Mrema wakiteta, bungeni jini Dodoma Machi 19, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wasira kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Machi 19, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...