Monday, March 17, 2014

FURAHA YA AWALI YA USHINDI WA CCM KALENGA

ccm1
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakisherehekea ushindi jioni hii katika ofisi kuu ya CCM mkoa wa Iringa ambapo inaonyesha CCM wanaongoza kwa mbali katika matokeo ya awali kwenye uchaguzi wa mbunge wa jimbo la Kalenga uliofanyika leo mkoni Iringa watu wengi walijitokeza asubuhi kupiga kura na hali ilikuwa ni ya utulivu kabisa watu wengi waliopiga kura wameishukuru serikali na tume ya uchaguzi kwa kuandaa utaratibu mzuri na kufanyika kwa uchaguzi wenye utulivu. mpaka sasa matokeo hayo yanaonyesha CCM inaongoza kata sita kati ya kata kumi na tatu za jimbo hilo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-LAKENGA)
 …

 ccm2
Wana CCM wakiendelea kuserebuka kwa muziki kama wanavyoonekana.
 ccm3
Ni raha kwa kwenda mbele kweli ushindi ni raha.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...