Thursday, March 06, 2014

Waziri Mkuu Pinda akiteta na Kumsikiliza Kwa Makini Mwenyekiti wa Kamati ya Kumshauri Mwenyekiti Kuhusu Kanuni za Bunge Maalum la Katiba, Profesa Costa Mahalu, bungeni mjini Dodoma

 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mwenyekiti wa Kamati ya Kumshauri Mwenyekiti Kuhusu Kanuni za Bunge Maalum la Katiba, Profesa Costa Mahalu, bungeni mjini Dodoma Machi 4, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...