Thursday, March 13, 2014

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA WAZIRI WA UCHUKUZI WA BURUNDI NA MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA JAMHURI YA KOREA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na  Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje  na Muungano waJjamhuri  ya Korea, Ahn Hong Joon baada ya mazungumzo kwenye  makazi ya Waziri Mkuu mjni Dodoma   Machi, 12, 2014.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na   Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya  Mambo ya Nje na Muungano wa Jamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon (kulia kwake) na msafara wake baada ya mazungumzo, kwenye makazi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma Machi 12, 2014.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Uchukuzi , Ujenzi na Vifaa wa Burundi, Mhandisi Virginie Ciza na mwenyeji wake Waziri wa Uchukuzi, Dkt Harrison Mwakyembe (kushoto) kwenye makazi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma Machi 12, 2014. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...