Wednesday, March 12, 2014

Picha Za Matukio Mbalimbali Kutoka Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge maalum la katiba na naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuzi, Kaika Telele, Bungeni Mjini Dodoma Machi 12, 2014.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba . Kutoka kushoto ni John Shibuda, Riziki Lulida na Zabein Mhita
 Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba Kabwe Zitto na Ibrahim Lipumba wakiteta Bungeni Mjini Dodoma Machi  12, 2014.
 Wajumbe  wa Bunge  Maalum la Katiba, William Lukuvi  (kulia)  akizungumza , Anna  Abdallah (katikati) na Tundu Lisu wakizungumza , Bungeni Mjini Dodoma Machi 11, 2014.
Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Kificho  akiongozwa kutoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 12, 2014 bada ya kuahirisha Bunge hilo.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...