Monday, March 24, 2014

Kutoka Gazeti la Mwananchi LEO:Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa)Umetangaza Hautakuwa Tayari Kujadili Rasimu tofauti na iliyowasilishwa na Jaji Joseph Warioba bungeni.

Mjumbe wa Umoja wa Wanaotetea Katiba ya Wananchi (Ukawa), Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi mjini Dodoma jana, mara baada ya kujadili hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa katika Bunge Maalumu la Katiba juzi. Kushoto ni Mjumbe wa Ukawa, Freeman Mbowe na kulia ni Tundu Lissu. Picha na Salim Shao  
----
  Bunge Maalumu la Katiba sasa lipo katika hati hati ya kuendelea kutokana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutangaza kuwa hawatakuwa tayari kujadili rasimu tofauti na iliyowasilishwa na Jaji Joseph Warioba bungeni.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...