Monday, March 24, 2014

MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE KUPITIA CCM RIDHIWANI JAKAYA KIKWETE AHANI MISIBA MIWILI NAKUCHANJA MBUNGA NA KAMPENI ZAKE KATA YA FUKAYOSI

 Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiteta jambo  na kijana wa jamii wa wafugaji baada ya mkutano wake katika kijiji cha  Mkenge, kata ya Fukayosi
    Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Jana  katika Kijiji cha Mkenge, Kaya ya Fukayosi .
Mandhari kwenye mkutano wa kampeni za CCM Kijiji cha Kidomole, Kata ya Fukayosi jana
 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akiwa kwenye msiba wa Zaidi muharami aliyefariki kwa ajali ya kugongwa na gari katika kata ya Fukayosi.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...