Friday, March 21, 2014

AJALI MBAYA KITUO CHA MABASI UBUNGO JIJINI DAR

Mkusanyiko wa watu wakiwa eneo la ajali Ubungo jijini Dar es Salaam.
Ajali mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali imehusisha magari 6 likiwemo UDA mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza…
Mkusanyiko wa watu wakiwa eneo la ajali Ubungo jijini Dar es Salaam.
Ajali mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali imehusisha magari 6 likiwemo UDA mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha.

No comments:

KAMISHNA KUJI ATOA WITO TANAPA KUWA NA SACCOS MOJA

Na Edmund Salaho - Tanga Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, CPA Musa Nassoro Kuji ambaye pia ni mlezi wa HIFADHI SACCOS LTD ametoa wito kwa watumi...