Awali mbunge wa Nzega Dkt Hamis Kigwangala akizungumza na wachimbaji wadogo wa madini hao katika kijiji cha Nzega Ndogo kabla ya maandamano
Maandamano baada ya mkutano wa Dkt Kigwangala kuelekea eneo la machimbo ya Mwashina wilayani NZega
Hivi ndivyo Mbunge wa jimbo la Nzega mkoani Tabora Dkt Hamis Kiwangala (mwenye shati la pinki) alivyokamatwa wakati wa maandamano ya wachimbaji wadogo machimbo ya Mwashina wilayani Nzega mkoani Tabora,huku wananchi wakikimbia hovyo kwani polisi walitumia mabomu ya machozi na risasi za moto kuwatawanya.
No comments:
Post a Comment