Katibu Mkuu wa Chama kinachoongoza Angola MPLA comrade Julio Mateus Paulo amewasili Dar es Salaam jana kuhudhuria Mkutano wa vyama vya Kisoshalisti ulimwenguni unaoanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius NyerereNdg.Magesa (MNEC) akiwa katika mazungumzo mafupi na Comrade Paulo katika ukumbi wa VIP uwanja wa Ndege wa Julius NyerereKatibu Mkuu wa Chama cha MPLA cha Angola Ccomrade Julio Mateus Paulo akipokelewa na Ndg. Phares Magesa Mjumbe wa NEC kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment