Thursday, March 20, 2014

Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kulihutubia Bunge Maalum la Katiba Siku ya ijumaa Machi 21 Mwaka 2014 Saa Kumi Jioni Mjini Dodoma

Rais Jakaya Kikwete
 Katibu wa Bunge Maalum la Katiba-Yahya Khamis Hamad
--
Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kulihutubia Bunge Maalum la Katiba Machi 21, mwaka huu mjini Dodoma.

Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu wa bunge hilo, Yahya Khamis Hamad wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa waandishi wa habari wa ofisi za Bunge mjini Dodoma.

No comments:

KAMISHNA KUJI ATOA WITO TANAPA KUWA NA SACCOS MOJA

Na Edmund Salaho - Tanga Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, CPA Musa Nassoro Kuji ambaye pia ni mlezi wa HIFADHI SACCOS LTD ametoa wito kwa watumi...