Friday, January 18, 2013

Rais Kikwete apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Msumbiji na Indonesia


8E9U4363
Balozi mpya wa Msumbiji nchini Tanzania Dkt.Vicente Mebunia Veloso na Balozi Mpya wa Indonesia nchini(4395) Mhe.Zakaria Anshar wakiwasilisha hati zao za utambulisho kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro).

8E9U4395
Rais DAkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa  Indonesia ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...