Thursday, January 03, 2013

Waziri Mkuu Wa Kenya Raila Odinga aondoka Dar baada ya kumaliza mapumziko mafupi na familia yake na kusikindikizwa na Dr John Magufuli

Waziri Mkuu wa Kenya Mhe. Raila Odinga Akipanda Ndege kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Mwl. Julius Nyerere VIP Terminal jijini Dar es salaam baada ya kumaliza mapumziko yake mafupi na familia yake jijini Dar es Salaam
 Picha Juu na Waziri wa Ujenzi Mhe. John Magufuli akimsindikiza  Rafiki Yake wa Karibu  Waziri Mkuu wa Kenya Mhe. Raila Odinga kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Mwl. Julius Nyerere VIP Terminal jijini Dar.
 Picha Juu na Waziri wa Ujenzi Mhe. John Magufuli akiagana na Rafiki Yake wa Karibu  Waziri Mkuu wa Kenya Mhe. Raila Odinga kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Mwl. Julius Nyerere VIP Terminal jijini Dar.
 Waziri wa Ujenzi Mhe. John Magufuli(kushoto)akifurahia jambo na  Mke wa Waziri mkuu wa Kenya Mhe Raila Odinga katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere VIP Terminal jijini Dar katikati ni Waziri Mkuu wa Kenya Rais Ondinga
Pichani juu ni familia ya Dk. John Magufuli na Raila Odinga wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakati Raila Odinga akirudi nchini Kenya. Dk Magufuli amemsindikiza Raila leo baada ya kukaa nchini kwa siku kadhaa.Picha na mdau Evo Morales

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...