Wananchi wakivuka kwa taabu sehemu ambako daraja la bonde la Mbutu wilayani Igunga linajengwa na kuondoa kabisa tatizo hilo mwaka huu ambapo ujenzi huo unaofanywa na muungano wa makandarasi wa Tanzania unatarajiwa kukamilika. Mpaka sasa asilimia 45 ya ujenzi wa daraja hili lenye thamani ya sh bilioni 11.28 umekamilika na inakadiriwa kuwa litakuwa tayari ifikapo Novemba mwaka huu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mawaziri, wabunge na maofisa waandamizi wa wizara na wakala wa ujenzi (TANRODS) pamoja na viongozi wa bodi ya wakandarasi akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa daraja hilo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakipozi na umoja wa wakandarasi wazalendo kutoka makampuni mbalimbali waliopewa kandarasi ya kujenga daraja hilo.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment