Saturday, January 05, 2013

Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete waenda kutoa pole nyumbani kwao Sajuki

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam.
(PICHA NA IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ Tabata Bima jijjini Dar es salaam leo ambako walienda kutoa pole.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam Januari 4, 2013.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam.

No comments:

Msajili wa Hazina, Fitch Ratings watathmini mageuzi ya taasisi za umma

Na Mwandishi wa OTR Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) Jumanne, Agosti 11, 2026, ilifanya mazungumzo na  Fitch Ratings Ltd  amb...