Meneja
mbunifu wa ofa za Tigo,Jacqueline Nnunduma akifafanua jambo mbele ya
Wanahabari (hawapo pichani) mapema jana asubuhi kwenye hoteli ya
Serena,kuhusiana na uzinduzi wa huduma yao mpya iitwayo Tigo
Time,kushoto ni kwake ni Mwakilishi wa kampuni ya Frontline Portel
Novelli Elias Bandeke
Meneja
wa Ofa za Tigo,Suleiman Bushagama akitoa ufafanuzi zaidi mbele ya
Wanahabari kuhusiana na kampuni hiyo kutambulisha huduma mpya kwa wateja
ijulikanayo kama
Tigo Time, ambayo inatoa punguzo kubwa sana la gharama ya kupiga simu
masaa
ishirini na nne kwa wiki (24/7 ikitegemeana na muda na wakati wa siku na
eneo
mteja atakalokuwa.
No comments:
Post a Comment