Katibu Mkuu wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Dkt. Wilbroad Slaa akipandisha bendera
ya Chama kuashiria uzinduzi wa tawi Jipya la CHADEMA Classic lililoko
katika kata ya Longuo mjini Moshi.
Mwenyekiti wa Baraza kuu la
vijana wa Chadema (BAVICHA),John Heche akizungumza wakati wa uzinduzi wa
tawi la Chadema classic lililopo kata ya Longuo B mjini Moshi
Katibu Mkuu wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Dkt. Wilbroad Slaa akikata utepe
wakati akizindua tawi la vijana wa CHADEMA la Aslam Garage mjini Moshi.
Meya wa manispaa ya Moshi,Jafary
Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la Chadema Classic
lililopo kata ya Longuo mjini Moshi.
Diwani wa viti maalum,Hawa Mushi
akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la vijana wa Chadema katika eneo
la Aslam Garage mjini Moshi.Picha na Dixon Busagaga
No comments:
Post a Comment