Friday, January 11, 2013

Rais Jakaya Kikwete aongoza kikao cha Troika cha SADC Jijini Dar es Salaam

 Mwenyekti wa Asasi ya Siasa,ulinzi na Usalama ya SADC Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha asasi hiyo kilichofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Rais wa Namibia Hifikepunye Pohamba ,Katibu mkuu wa SADC,Dk.Tomaz Salomao,Rais Armando Guebuza wa Msumbiji,Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na kulia ni Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...