Wanakiji wa Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani wakiangalia fashifashi
wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya kijijini hapo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakichangayika na
wanakijiji wenzao wa kijijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo mkoa wa
Pwani, kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za utamaduni
ms3:Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kaka yake Mzee Selemani Kikwete
kwa wanakijiji wenzake wa kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo mkoa wa
Pwani, wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na
ngoma za utamaduni
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakipeana mkono wa
heri na wanakijiji wenzao wa kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa
wa Pwani, wakati wa kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za
kienyeji. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment