Wednesday, January 23, 2013

BALOZI WA UINGEREZA AMTEMBELEA KINANA

1A. Kinana akimkaribisha ofisini kwake Balozi wa Uingereza
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Uingereza hapa nchini, Diane Corner aliyemtembelea  Januari 22, 2013, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. kwa ajili ya  mazungumzo maalum ya kikazi. (Picha na Bashir Nkoromo).
2. Kinana, Migiro na Balozi
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na mgeni wake, Balozi wa Uingereza hapa nchini, Diane Corner, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,  Januari 22, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na kulia ni Mkuu
wa Mawasiliano na  Siasa wa Ubalozi huo,  Mark Polatajko. (Picha na Bashir Nkoromo).
3. Balozi akiagana na Kinana.
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Uingereza hapa nchini, Diane Corner, baada ya mazungumzo yao, leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 22, 2013. Wapili kulia ni Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na kulia ni Mkuu wa Mawasiliano na  Siasa wa Ubalozi huo,  Mark Polatajko. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...