Msanii
wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akishuka kutoka katika gari
lililomleta Mahakama Kuu wakati wa kukamilisha taratibu za kupata
dhamana
Wasanii nao wallijitokeza mahakamani hapo kumfariji Lulu, kulia ni msanii wa filamu, Muhsin Awadh 'Dk. Cheni'
Lulu akiingia Mahakamani huku akisindikizwa na Askari Magereza
Lulu akiingia mahakamani.
Lulu akiingia mahakamani huku akitabasamu.
Lulu akitoka katika lango Kuu la Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam baada ya kupata dhamana.
Lulu akiwa amezungukwa na baadhi ya waandishi wa habari waliotala kufanya nae mahojiano mfupi baada ya kupata dhamana.
Lulu akiangua kilio baada ya kushindwa kuongea na waandishi wa habari waliokusanyika mahakamani hapo.
Lulu akilia wakati akitoka Mahakamani huku nyumba akifuatiwa na mama yake mzazi.
Lulu akiondoka mahakama hapo.
Wakili anayemtetea Lulu akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi
baada ya mteja wake kupata dhamana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es
Salaam, jana. Lulu amepata dhamana baada ya kutimiza
masharti ya kuwa na wadhamini wawili ambao ni watumishi wa serikali
waliosaini bondi ya Sh.milioni 20 kila mmoja, kusalimisha hati ya
kusafiria, kutotoka nje ya Dar es Salaam bila ruhusa ya mahakama na
kuripoti kwa msajili kila mwezi Lulu anakabiliwa na kesi ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa msanii mwenzake marehemu Steven Kanumba.Picha Zote na Mdau Dande Francis
No comments:
Post a Comment