Jengo hilo la Kisasa lililo na vifaa vya Dijitali litakalo tumiwa na Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC)
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akifungua rasmi jengo la Mradi wa Kuhama kutoka Teknolojia ya
Analojia kwenda
Digital hapo Rahaleo Mjini Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za
kuaadhimisha
miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata
utepe kufungua jengo la Mradi wa Kuhama kutoka Teknolojia ya Analojia kwenda
Digital hapo Rahaleo Mjini Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za kuaadhimisha
miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo ya matumizi ya vifaa vya
Dijital,kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Agape AssociationLTD,Dr Vernon
Fernandes,(kulia) baada ya kufanya
uzinduzi wa Mradi wa Kuhama kutoka Teknolojia ya Analojia kwenda Dijital hapo
Rahaleo Mjini Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za kuaadhimisha miaka 49 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Dk.Anny Fernandes.
Rais
wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa
akizungumza naViongozi,Wananchi na Wafanyakazi wa ZBC,baada ya kufanya
Uzinduzi wa Mradi wa
Kuhama kutoka Teknolojia ya Analojia kwenda Dijital,katika jengo la
Studio ya
kurikodia Sanaa na Muziki ambalo lilifanyiwa ukarabati na kurejeshwa
hadhi
yake,ikiwa ni shamra shamra za kuaadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi
Matukufu ya
Zanzibar.
Baadhi ya
Viongozi wa Kampuni ya Agape Association,LTD na wananchi waimsikiliza
Rais Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa
akizungumza nao katika jengo la Studio ya kurikodia Sanaa na Muziki
ambalo
lilifanyiwa ukarabati na kurejeshwa hadhi yake,ikiwa ni shamra shamra za
kuaadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Baadhi ya
wafanyakazi wa Shirika la BC,wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Kuhama kutoka Teknolojia ya Analojia
kwenda Dijital hapo Rahaleo Mjini Zanzibar,wakati Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza
nao katika jengo la Studio ya kurikodia Sanaa na Muziki ambalo lilifanyiwa
ukarabati na kurejeshwa hadhi yake,hapo Rahaleo Mjini Zanzibar,ikiwa ni shamra
shamra za kuaadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment