Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka udongo kaburini katika kaburi la Baba Mzazi wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia ,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Mzee Ali Mwalimu katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu eneo la Mchukuuni mjini Tanga Februari 19, 2016(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
NCHIMBI AFUKUZWA CCM, NDEJEMBI ARITHI MIKOBA
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanya maamuzi muhimu yanayofungua sura mpya katika uongozi wa chama na Serikali , kufuatia k...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
-
Nadhani mtakumbuka kibwagizo maarufu katika TV ambacho kinaimbwa perupe pepero perupe pepero hawa ni vijana wa Sisi Tambala waliokuwapo kati...
-
Mdau Julius Samwel hivi karibuni alikuwa huko Mwanza na hizi ndizo alizofanikiwa kutumegea, wadau hebu someni hicho kibao mniambie kuna nini...
No comments:
Post a Comment