Monday, February 15, 2016

MAJALIWA AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI KUWAIT, MAHADHI

m2
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe. Mahadhi Juma Maalim ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Februari 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mh1
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe Mahadhi Juma Maalim  ambaye alikwenda  ofisini kwa  Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Februari 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

MALIASILI, MAHAKAMA KUIMARISHA USHIRIKIANO KULINDA HIFADHI

Na Sixmund Begashe, Arusha Wizara ya Maliasili na Utalii imeahidi kuendeleza ushirikiano na taasisi zote zinazounda mnyororo wa haki jinai i...