Monday, February 22, 2016

KIKWETE AZINDUA OFISI YA CCM WILAYA YA KIBAHA MJINI LEO


 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizindua Ofisi ya CCM Wilaya ya Kibaha mjini mkoani Pwani leo. Ofisi hiyo imejengwa na familia ya Mbunge wa Kibaha mjini Slyvester Koka (kulia). (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

NCHIMBI AFUKUZWA CCM, NDEJEMBI ARITHI MIKOBA

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanya maamuzi muhimu yanayofungua sura mpya katika uongozi wa chama na Serikali , kufuatia k...