Wednesday, February 24, 2016

MSAJILI WA HAZINA AFANYA ZIARA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA

Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru akikaribishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu alipofika katika jengo la Eco Residences Kinondoni Hananasif Jijini Dar es Salaam kujionea utendaji kazi na kutoa maelekezo ya kiutendaji kwa uongozi wa shirika hilo. Ameelezea kufurahishwa na utendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa kwa kutenda kazi kiubunifu na ari kubwa na akaitaka Menejimenti hiyo kuendeleza kasi hiyo huku ikijielekeza zaidi katika kutafuta suluhisho la Makazi Bora ya wananchi.
Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru akikaribishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu alipofika katika jengo la Eco Residences Kinondoni Hananasif Jijini Dar es Salaam kujionea kujionea utendaji kazi na kutoa maelekezo ya kiutendaji kwa uongozi wa shirika hilo. Ameelezea kufurahishwa na utendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa kwa kutenda kazi kiubunifu na ari kubwa na akaitaka Menejimenti hiyo kuendeleza kasi hiyo huku ikijielekeza zaidi katika kutafuta suluhisho la Makazi Bora ya wananchi.
Jengo la Eco Residences Kinondoni Hananasif Jijini Dar es Salaam linavyoonekana kwa sasa baada ya kukamilika jengo hilo linatarajiwa kukamilika mwezi ujao.
 Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakati alipokuwa akitoa taarifa ya utendaji kazi  wa Shirika hilo wakati wa ziara ya kikazi katika Makao Makuu ya NHC jijini Dar es Salaam leo. Msajili wa Hazina alipata fursa ya kuongea na Menejimenti ya Shirika la kutembelea mradi wa Eco Residence Kindondoni.
  Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakati alipokuwa akitoa taarifa ya utendaji kazi  wa Shirika hilo wakati wa ziara ya kikazi katika Makao Makuu ya NHC jijini Dar es Salaam leo. Msajili wa Hazina alipata fursa ya kuongea na Menejimenti ya Shirika la kutembelea mradi wa Eco Residence Kindondoni.
 Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru akifualia maelezo ya Meneja wa Mradi alipofika katika mradi wa jengo la Eco Residences Kinondoni Hananasif Jijini Dar es Salaam kujionea utendaji kazi na kutoa maelekezo ya kiutendaji kwa uongozi wa shirika hilo.
 Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru akifualia maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu alipofika katika mradi wa jengo la Eco Residences Kinondoni Hananasif Jijini Dar es Salaam kujionea utendaji kazi na kutoa maelekezo ya kiutendaji kwa uongozi wa shirika hilo.
  Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru  akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya ziara hiyo.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya ziara hiyo.




No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...