Thursday, February 18, 2016

PROF ELISANTE OLE GABRIEL AKUTANA NA BODI YA WAKURUGENZI YA TSN

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel (wa kwanza kulia) akizungumza na wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya magazeti ya Serikali ya Tanzania Standard Newspaper Ltd (TSN) kuhusu changamoto mbalimbali za kampuni hiyo  leo jijini Dar es Salaam. Kulia kwa katibu mkuu ni Prof Moses Warioba ambaye ni mwenyekiti wa bodi hiyo.
man2
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akizungumza jambo na mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya magazeti ya Serikali ya Tanzania Standard Newspaper Ltd (TSN) Bw.Prof Moses Warioba (kushoto).
man3
Wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya magazeti ya Serikali ya Tanzania Standard Newspaper Ltd (TSN) wakimskiliza Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel (hayupo pichani) wakati wa kikao cha kuzungumzia changamoto mbali mbali za kampuni hiyo.kutoka kulia ni Dkt Consolatha Ishebabi,Dkt Evelyn Richard na Bw,Alfred Nchimbi.
Picha na Daudi Manongi-WHUSM

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...