Tuesday, February 23, 2016

KATIBU AFANYA UKAGUZI WA UKARABATI WA UKUMBI WA BUNGE UNAOENDELEA MJINI DODOMA

kash1Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah (aliyesimama katikati) akikagua ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. Ukarabati huo unahusisha urekebishaji wa paa la ukumbi huo pamoja na urekebishaji wa Viti na mifumo ya Umeme.
kash2Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah (wa kwanza kulia) akikagua ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
kash3Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akikagua taa za Umeme ambazo zinatakiwa kubadilishwa wakati wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge.
kash4Mhandisi Matengenzo TBA-Dodoma Hija Mrutu (Kulia) akimuelezea Katibu wa Bunge Dkt Thomas kuhusu namna ukarabati wa ukumbi wa Bunge unavyoendelea.
kash5
Katibu wa Bunge akiendelea kufanya ukaguzi wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
kash6
Katibu wa Bunge akiendelea kufanya ukaguzi wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
kash7kash8
Katibu wa Bunge akiendelea kufanya ukaguzi wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...