Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Programe maalum ya Mwanamke na wakati ujao (Female Future) katika ukumbi wa Hoteli ya Hayyat Hotel Dar es salaam Februari 24,2016.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja baada ya kuzindua Programe maalum ya Mwanamke na wakati ujao (Female Future) katika Hoteli ya Hayyat Dar es salaam leo Februari 24,2016.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari baada ya kuzindua Programe ya Mwananke na wakati ujao Female Future katika Hoteli ya Hayyat Dar es salaam leo Februari 24,2016. (Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment