Friday, February 26, 2016

UJUMBE SHIRIKA LA NYUMBA ZANZIBAR WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO NHC

Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Maagi akizungumza na ujumbe kutoka Shirika la Nyumba la Zanzibar ambalo limeundwa mwaka juzi. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imepitisha Sheria nambari 6 ya mwaka 2014 na kunzisha Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) ambapo mwanzoni ilikuwa ni Idara ya Nyumba na Maendeleo ya Makaazi.

Kabla ya kuundwa Shirika la Nyumba aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Nyumba na Maendeleo ya Makaazi aliwahi kufanya ziara katika Shirika la Nyumba la Taifa kwa madhumuni ya kujifunza hususan katika matayarisho ya Sheria ya Uanzishaji wa Shirika Ia Nyumba Zanzibar.
Shirika Ia Nyumba, Zanzibar Iimeshaundwa na Mkurugenzi wake Mkuu ameshateuliwa kwa lengo Ia kuanza kazi. Hivyo, ujumbe wake umetembelea NHC kwa madhumuni ya kujifunza kwa kina jinsi ya uendeshaji wa Shirika na kupata uzoefu wa hatua mbali mbali ambazo Shirika la NHC limepitia hadi kufikia mafanikio yaliyopatikana.
Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Maagi akizungumza na ujumbe kutoka Shirika la Nyumba la Zanzibar ambalo limeundwa mwaka juzi. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imepitisha Sheria nambari 6 ya mwaka 2014 na kunzisha Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) ambapo mwanzoni ilikuwa ni Idara ya Nyumba na Maendeleo ya Makaazi.
Ujumbe wa Shirika la Nyumba la Taifa ukimsikiliza Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Maagi awakati akizungumza na ujumbe kutoka Shirika la Nyumba la Zanzibar ambalo limeundwa mwaka juzi. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imepitisha Sheria nambari 6 ya mwaka 2014 na kunzisha Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) ambapo mwanzoni ilikuwa ni Idara ya Nyumba na Maendeleo ya Makaazi.
Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Maagi akizungumza na ujumbe kutoka Shirika la Nyumba la Zanzibar ambalo limeundwa mwaka juzi. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imepitisha Sheria nambari 6 ya mwaka 2014 na kunzisha Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) ambapo mwanzoni ilikuwa ni Idara ya Nyumba na Maendeleo ya Makaazi.
Haikamen Mlekio, Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki, James Rhombo, Mkurugenzi wa Rasilimali watu na Fatuma Chillo, Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani wakifuatilia mafunzo hayo yaliyofanyika leo Makao Makuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Upanga- Dar es Salaam.

No comments: