Mmoja wa Waimbaji mahiri wa nyinbo za Injili, Jenifer Mgendi akiimba mbele ya wapenzi na washabiki wa nyimbo zake katika uzinduzi wa dvd yake ya Wema ni akiba,uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar .
Wa pili pichani ni Askofu Mkuu wa kanisa la Tanzania Assemblies of God Dr Barnabas Mtokambali akiionesha dvd ya Jennifer Mgendi ya Wema ni akiba baada ya kuizindua Jumapili iliyopita. Kulia ni Katibu Mkuu wa kanisa la Tanzania Assemblies of God Mchungaji Ron Swai.
Baadhi ya Watumishi wa Mungu wakiiombea baraka dvd ya Wema ni akiba wakiongozwa na Dr Barnabas Mtokambali.
Jenifer Mgendi akiiimba kwa hisia katika uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment