Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akislimiana na wazee wa Mtwara baada ya kufunga maaadhimisho ya Jumuiya ya Tawala za Mikoa Tanzania (ALAT) mjini Mtwara Julai 1, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wahandisi na mafundi wa Kichina wanaojenga mtambo wa kuchakata gesi kwa gharama za serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) katika eneo la Madimba mkoani Mtwara Julai 1, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mtambo wa kuchakata gesi unaojengwa na serikali kupiatia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) katika eneola Madimba mkoani Mtwara Julai 1, 2015. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Halima Dendego. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia katika mazungumzo kati yake na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa , Benard Mbembe (katikati) na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Meck Sadik kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere kabla ya kumpokea Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam DesalegnJulai 1, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsindikiza Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn ambaye anapunga mkono wakati mgeni huyo alipoondoka nchini baada ya ziara yake ya siku moja Juni 2, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsindikiza Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn ambaye anapunga mkono wakati mgeni huyo alipoondoka nchini baada ya ziara yake ya siku moja Juni 2, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Waziri Mkuuwa Ethiopia, Hailemariam Desalegn wakati mgeni huyo alipoondoka nchini baada ya ziara yake ya siku moja Juni 2, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na fundi cherehani Abdallah Nyangalilo ambaye ni mlemavu asiyoona wakati alipotembelea bada la mlemavu huyo katika maoyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam Julai 3, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na fundi cherehani Abdallah Nyangalilo ambaye ni mlemavu asiyoona wakati alipotembelea bada la mlemavu huyo katika maoyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam Julai 3, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment