Tuesday, March 03, 2015

PINDA AHANI MSIBA WA MTOTO WA MAMA KYENDESYA

MIZ1Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimfariji mbunge wa zamani wa Viti Maalum, Florence Kyendesya  wakati alipokwenda nyumbani kwa mbunge huyo  kuhani msiba wa mtoto wa  Mama Kyendesya,  Machi2, 2015. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)MIZ2Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimfariji mbunge wa zamani wa Viti Maalum, Florence Kyendesya  wakati alipokwenda nyumbani kwa mbunge huyo  kuhani msiba wa mtoto wa  Mama Kyendesya,  Machi2, 2015. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

UJIRANI MWEMA KATI YA NGORONGORO NA VIJIJI VYA JIRANI WAZIDI KUIMARISHWA

  Na Mwandishi Wetu Naibu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro anayesimamia Uhifadhi, Utalii na Maendeleo ya Jamii, Joas...