Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika kazi ya kutandaza nyaya za umeme vijijini pamoja na wafanyakazi wa TANESCO wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro katika kijiji cha Kirongo Samanga wakati akiwa katika ziara yake katika jimbo la Rombo akikagua na kuhimiza ilani ya Uchaguzi ya CCM mwaka 2010 ya inayotekelezwa na serikali huku akihimiza uhai wa chama cha mapinduzi. Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa CCM Ndugu Nape Nnauye.(PICHA NA KIKOZIKAZI CHA FULLSHANGWE-ROMBO-KILIMANJARO)Mafundi wa TANESCO wakiendelea na kazi ya kusa baza umeme katika kijiji cha Kirongo Samanga wilayani Rombo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Bw. Shanel Ngowi Mkurugenzi wa kiwanda cha kutengeneza Juisi na Maji cha Bella View kilichopo katika Bella.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga picha na wafanyakazi wa kiwanda cha Juice Bella View.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha juisi cha Bella View Bw. Shanel Ngowi alipokagua uzalishaji wa kiwanda hicho.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa heshima zake katika kaburi la pamoja la wanafunzi wa shule ya sekondari ya Shauritanga waliofariki katika ajali ya moto miaka kadhaa iliyopita mkoani Kilimanjaro. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya mradi wa maji wa Kahe kutoka kwa Mhandisi wa maji wilaya ya Rombo Bw.Tesha Andrew wakati alikagua mradi huo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na baadhi ya wananchi wakati alipokagua mradi wa maji wa Kahe wilayani Rombo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiunganisha maji wakati alipokagua ujenzi wa mradi wa maji wa Kahe wilaya ya Rombo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifungua maji ya bomba wakati alipokagua ujenzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Kahe wilayani Rombo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na injinia wa maji wilaya ya Rombo Bw. Tesha Andrew.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi mbalimbali wakati alipowasili katika uwanja wa Polisi Tarakea wilayani Rombo ambapo mkutano wa hadhara umefanyika.Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano huoWananchi wa Tarakea wakinyanyua mikono yao juu wakati mkutano huo ukiendelea.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa polisi mjini Tarakea.Mmoja wa akina mama wa CCM akiwasili kwa pikipiki katika eneo la mkutano mjini Tarakea wilayani Rombo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Bw. John Saimon aliyekuwa Katibu wa CHADEMA wilaya ya Rombo na Katibu wa Mbunge wa jimbo hilo Mh. Joseph Selasini akitangaza rasmi kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara mjini Tarakea.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikusanya kadi za vijana wa CHADEMA waliojiunga na CCM katika mkutano huo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimvisha kofia Bw. John Saimon mara baada ya kujiunga na CCM.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki na Kijana John Saimon wakipigiana saluti mara baada ya kumalizika kwa mkuta no wa hadhara katikati anayeshuhudia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment