Friday, March 27, 2015

PSPF YATOA SEMINA KWA WADAU JUU YA HUDUMA ZAKE

001
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu akimkaribisha Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Prof. Helmans Mwansoko hayupo pichani ambaye aliyemwakilisha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel katika ufunguzi wa Semina kwa Maafisa na Wakuu wa Idara za Halmashauri za Wilaya, Miji na Manispaa za Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani iloyolenga kutoa elimu juu ya huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo.
002
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Helmans Mwansoko aliyemwakilisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel katika ufunguzi wa Semina iliyolenga kutoa elimu ya huduma zitolewazo na Mfuko huo kwa Maafisa na Wakuu wa Idara za Halmashauri za Wilaya, Miji na Manispaa za Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani
003
Maafisa na Wakuu wa Idara za Halmashauri za Wilaya, Miji na Manispaa za Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani wakimsikiliza mgeni rasmi kutoka Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Helmans Mwansoko hayupo pichani katika ufunguzi wa semina inayolenga kutoa elimu juu ya huduma mbalimbali zitolewazo na mfuko wa PSPF.
004
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Helmans Mwansoko watano kutoka kulia waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Wakuu wa Idara za Halmashauri za Wilaya, Miji, na Manispaa za Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani mara baada ya kufungua semina inayolenga kutoa elimu juu ya huduma mbalimbali zitolewazo na mfuko wa PSPF

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...