Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal akizungumza jambo na Rais wa Zimbambwe,Mh.Robert Mugabe mara mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA,mapema leo mchaa.Rais Mugabe anatarajiwa kufungua Kongamano la Viongozi Vijana wa Afrika na China litakaloanza jana mjini Arusha.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiteta jambo na Rais wa Zimbabwe,Mh.Robert Mugabe mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA mapema leo mchana.Rais Mugabe anatarajiwa kufungua Kongamano la Viongozi Vijana wa Afrika na China litakaloanza jana mjini Arusha..
Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal akimpomkea mgeni wake,Rais wa Zimbabwe,Mh.Robert Mugabe mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa KIA,mapema leo mchana.Rais Mugabe anatarajiwa kufungua Kongamano la Viongozi Vijana wa Afrika na China litakaloanza jana mjini Arusha.
Baadhi ya Wanahabari wakihangaika kupata taswira ya kuwasili kwa Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ambaye alipokelewa na Makamu wa Rais Dkt.Gharib Bilal na viongozi mbalimbali wa Kitaifa na Kidini
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe akiwasili mapema jana mchana
kwenye uwanja wa ndege wa KIA.Rais Mugabe anatarajiwa kufungua Kongamano la Viongozi Vijana wa Afrika na China litakaloanza leo katika hotel ya Ngurdoto mjini Arusha.
kwenye uwanja wa ndege wa KIA.Rais Mugabe anatarajiwa kufungua Kongamano la Viongozi Vijana wa Afrika na China litakaloanza leo katika hotel ya Ngurdoto mjini Arusha.
No comments:
Post a Comment