MENEJA WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA MKOA WA LINDI FORTUNATA RAYMOND AKITOA ELIMU YA UMUHIMU NA FAIDA YA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF),KWA VIONGOZI WA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU NA VILABU VILIVYOPO MANISPAA YA LINDI MJINI,AMBAPO ALIWATAKA KUTAMBUA NA KUCHANGAMKIA FURSA YA KUJIUNGA NA MFUKO HUO KWANI NI WA GHARAMA NAFUU,UTAKAOWAWEZESHA KUPATA HUDUMA ZA MATIBABU NA FAMILIA ZAO KWA KUCHANGIA MARA MOJA KWA MWAKA MZIMA,ELIMU HIYO ILIFANYIKA KWENYE UWANJA WA ILULU MKOANI LINDI.MWALIMU FIKIRI MWEKA HAZINA WA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU MANISPAA YA LINDI AKIULIZA JAMBO KWA MTOA MADA AMBAYE NI MENEJA WA MFUKO MKOA WA LINDI HAYUPO PICHANI WAKATI WA UTOAJI ELIMU KWA VIONGOZI HAO ULIOFANYIKA HIVI KARIBUNI KWENYE VIWANJA VYA MPIRA WA MIGUU ILULU LINDI.VIONGOZI NA WAWAKILISHI WA VILABU VYA MPIRA WA MIGUU MANISPAA YA LINDI MJINI WAKIPATA UFAFANUZI WA HOJA WALIZOWASILISHA BAADA YA KUPATA ELIMU KUTOKA KWA MANEJA WA NHIF LINDI FORTUNATA RAYMOND,PIA ALISISITIZA VIONGOZI HAO WATUMIE ELIMU WALIYOIPATA KUWAFIKISHIA WANAJAMII WANAOISHI NAO ILI WAWEZE KUNUFAIKA NA MFUKO HUO SAMBAMBA NA KUTATUA CHANGAMOTO YA DAWA KWA KUJIUNGA NA CHF.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment