Thursday, March 26, 2015

KINANA:VUNJO ACHENI KUJARIBU VYAMA KILA MSIMU WA UCHAGUZI, ITAKULA KWENU

04
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Kada wa CCM mkoani Kilimanjaro Bw. Innocent Shirima wakati alipopokelewa na viongozi wa jimbo la Vunjo katika kata ya Kahe Magharibi mkoani Kilimanjaro
2Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Nape Nnauye akiongoza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipowasili kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa Polisi Himo.3Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na akina mama wajasiriamali wa kikundi cha VICCOBA Kirua Vunjo.5Msafara Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye viwanja vya Kirua Vunjo Kusini Uchira ili kuzungumza na akina mama wa Viccoba wa Uvira.6Msafara Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapigia saluti wananchi wakati alipowasili  kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Polisi Himo, kulia ni Mkuu wa wilaya ya Moshi Mjini Ndugu Novatus Makunga na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Iddi Juma.7Kikundi cha burudani kikitumbuiza katika mkutano huo.9Vijana wa Bodaboda wakiwa katika mkutano wa hadhara vianja vya Polisi mjini Himo.10Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara mjini Himo.11Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano wa hadhara mjini Himo wakimsikiliza Nape Nnauye.12Wananchi wakiwa wamefurika katika mkutano huo uliofanyika kwenye viwanja vya Polisi mjini Himo.13Wananchi wakiwa wamefurika katika mkutano huo uliofanyika kwenye viwanja vya Polisi mjini Himo.14Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye vianjwa vya Polisi Himo mkoani Kilimanjaro.15Kutoka kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM , Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Leonidas Gama na Mwenyekiti wa CCM mkao wa Kilimanjaro Iddi Juma.16Vijana  wa bodaboda wa Vunjo mkoani Kilimanjaro wakiwa kwenye kutano wa hadhara uliofanyika mjini Himo.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...