Msajili wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu,AfCHPR)Dk Robert Enno(kushoto)akimsikiliza Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Jimbo la Darfur,Sudan,Yassir Ahmed Mohammed.
Msajili wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu,AfCHPR)Dk Robert Enno(kushoto)akinzungumza na Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Jimbo la Darfur,Sudan,Yassir Ahmed Mohammed na ujumbe wake.
Msajili wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu,AfCHPR)Dk Robert Enno(kushoto)akitoa machapisho ya Mahakama hiyo kwa ujumbe uliotembelea Mahakama hiyo.
Msajili wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu,AfCHPR)Dk Robert Enno(wa pili kulia)akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe uliongozwa na Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Jimbo la Darfur,Sudan,Yassir Ahmed Mohammed.
Afisa Habari Mwandamizi wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu (AfCPHR), Sukhdev Chatbar (kulia) akizungumza na Waendesha Mashtaka kutoka Darfur nchini Sudan waliotembelea Mahakama hiyo kujifunza namna inavyotekeleza wajibu wake.
No comments:
Post a Comment