Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma Helena Shumbusho mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea mkoani humo tayari kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Kada wa CCM na Mbunge wa jimbo la Mbiga Magharibi Marehemu Kapteni John Damiano Komba aliyefariki hivi karibuni katika hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam, mwili wa Kapteni John Komba unazikwa leo huko kijijini kwao Lituhi mkoani Ruvuma.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na akisalimiana na viongozi mbalimbali wa chama na serikali mkoani Ruvuma wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea.Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndugu Mwigulu Nchemba na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakisalimiana na wananchi wa Songea baada ya kuwasili mkoani humo tayari kwa mazishi ya Marehemu Kapteni Komba.Msanii wa TOT Khadija Omary Kopa akiwasili uwanjani hapo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Rais Samia Suluhu Hassan Ashiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kwa Mjadala wa Usalama Mashariki mwa DRC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
(Picha na Yahya Charahani) Kwa wale waliokulia maeneo haya, hili ni jambo la kawaida ukitoka mjini, shambani sijui hadi wapi kote ni haya h...
No comments:
Post a Comment