Saturday, March 21, 2015

NAPE AHOJIWA LIVE NA KITUO CHA REDIO 5 JIJINI ARUSHA

NAPE REDIO 5 2
Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye akiwa katika studio za Redio 5 zilizopo njiro jijini Arusha akihojiwa live na kituo hicho juu ya utekelezaji wa ilani ya CCM pamoja na ziara ya katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana inayoendelea katika mkoa wa Arusha, kushoto ni mtangazaji mahiri wa kituo hicho David Rwenyagira
???????????????????????????????
Mkurugenzi wa Kampuni ya TANMEDIA inayomiliki Kituo cha Redio 5 kilichopo Njiro jijini Arusha Robert Fransic katikati, kulia Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye wakibadilishana mawazo, kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Isack Kadogoo kabla ya kuingia studio kwa mahojiano maalum jana
NAPE REDIO 5 3
Muonekano katika studio hizo wakati wa mahojiano maalum kushoto ni watangazaji wa kituo hicho Wilberd Kiwale na David Rwenyagira, kulia Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye pamoja na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Isack Kadogoo.
nape ngazi
Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye akiwa anashuka kutoka katika studio za Redio5 mara baada ya mahojiano maalum na kituo hicho
nape 111
Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Kampuni ya TANMEDIA inayomiliki Kituo cha Redio 5 kilichopo Njiro jijini Arusha Robert Fransic katikati, pembeni ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Isack Kadogoo, mara baada ya kumaliza mahojiano maalumu nakituo hicho juzi
(Habari Picha na Pamela Mollel wa JAMIIBLOG)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...