Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mdogo mpya wa India anaefanyia kazi zake Zanzibar Satendar Kumar alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo mpya wa India anaefanyia kazi zake Zanzibar Satendar Kumar alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi Mdogo mpya wa India anaefanyia kazi zake Zanzibar Satendar Kumar alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao aliyefika kujitambulisha,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mdogo mpya wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe,Ali Abdulla Al-Rashdi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo mpya wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe,Ali Abdulla Al-Rashdi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi Mdogo mpya wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe,Ali Abdulla Al-Rashdi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao aliyefika kujitambulisha,
[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment